Bila Ubishi, 2016 ni Mwaka wa Historia kwenye Muziki wa AliKiba

 

Wote tunafahamu, Mwaka ndio huu unakatika, sasa ngoja nikupe tathmini ndogo tu kuhusu Muziki wa AliKiba na hatua alizopiga kimaendeleo kwenye ramani ya muziki wake kwa mwaka 2016.

Nusu ya kwanza ya mwaka 2016 ilianza kwa Alikiba ku-sign Sony, Sony walim-sign Davido kwa dola za kimarekanI milion 4 kwa mwaka, inakadiriwa Ali pia alisogelea kiasi hicho cha pesa.


Ali Kiba

Nyimbo ya Aje pekee ilimpa zaidi ya shilingi Milioni 900 za kitanzania, hapa nazungumzia Mdundo uliosambaa pote duniani, ameuza rington sana, Mtn,Vodacom, Safaricom. Muito katika nchi zinazotumia sana simu za Kenya, Uganda, South Africa, Nigeria n.k, Pamoja na haya na mengne mengi.

Nusu ya pili inamalizika kwa nominations za kutosha, awards, shows n.k, Akiwa ametajwa karibu katika kila tuzo Ali amejizolea sifa tele ikiwa ni pamoja na kutrend kwa mambo mbalimbali na matukio ya kila aina.

Tuzo alizochukua mpaka sasa ni 7(and counting), Licha ya nguli huyo kutozipost tuzo hizo kama kawaida yake, mashabiki zake sasa wamekua na amani baada ya kuvuta, MtvEMA, Oscar, Bfta na nyingine nyingi.
Post a Comment
Powered by Blogger.