Video "Drunk In Love" Huenda Ikampandisha Beyonce Mahakamani.

Dwayne Walker ni mshikaji aliejitokeza na kudai yeye ndiye allitengeneza nembo ya Roc-A-Fella.
 Mshikaji amejitokeza  na kudai mwanadada Bey ametumia nembo hiyo kwenye ngoma yake "Drunk In Love" bila kuwa na makubaliano.
Hii inakuja miezi michache baada ya mshikaji kumzingua Jay Z mwezi September akitaka alipwe dola milioni 7.
Inasemekana mshikaji ameshafikisha kesi mahakamani na vielelezo vyote vya umiliki wa nembo hiyo na anapendekeza kulipwa sehemu ya mapato ya video hiyo endapo Beyonce atapatikana na hatia.Chemical Na Dada Hood Kwenye Stage Ya After School Bash 2016:

 
Post a Comment
Powered by Blogger.