Beki wa Bayern Munich aitaka klabu ya Arsenal baada ya kutoka Ujerumani.Imeripotiwa kuwa beki wa Bayern Munich, David Alaba, anavutiwa na mpango wa kutua Arsenal pindi atakapoondoka Ujerumani.
Kauli ya Alaba imetokana na tetesi za hivi karibuni kuwa nyota huyo anajiandaa kutimkia Bayern na kutua Manchester United.
Post a Comment
Powered by Blogger.