Baada ya Muziki Kufikisha Views Milioni 2 Youtube, Sebastian Ndege Atoa Ushauri Huu Kwa Darassa


Kwa rapper kufikisha views milioni 1 Youtube ni big deal, lakini kufikisha views milioni 2 tena ndani ya mwezi mmoja (kasoro siku 2), ni sherehe kubwa! Muziki wa Darassa aliomshirikisha Ben Pol, haifanyi tu vizuri mtaani, kwenye redio na TV, bali video yake inakimbiza vibaya mtandaoni.

Rapper huyo amefurahia mafanikio yake hayo kwa kushare Instagram baada ya video yake kufikisha views milioni 2.

Wakati huo huo mtangazaji wa zamani wa Clouds FM ambaye sasa ni mmiliki wa Jembe FM, Sebastian Ndege, amempa ushauri muhimu rapper huyo.

Kwenye Instagram, Ndege ameandika: Mzaa unaweza kuleta Kizaa zaa..Sinzia Na fegi Uchome Kibanda..Funga mkanda kaza na Kamba.. @darassacmg @darassacmg

Ukisikiliza Muziki wa Darassa utagundua kwamba kuna Lyrics ambazo zinavuka hisia za muziki na Kuamsha fikra za phylosophy beyond standard levels.Ndio maana ushairi wangu kwake nilipokutana nae leo ni kama ifuatavyo:

1.Kutoa hit song is one thing, but Kutoa consecutive hit songs is the deal.

2.Ukipokelewa vizuri lazima kubalance between Wimbo mzuri na Live perfomance.. Nikamwambia ujue great perfomance is about investment and preparation.Lazima awekeze kwenye Live show ili kukidhi kiu ya mashabiki watakaokuja kwenye show yake.Leave to proffesional choreographers wakuandalie show.Na uheshim proffesionalism,utafika mbali.

3.Umeshakua Super star,Now behave like one.Get serious Management to traverse the path for you.Umesema Acha Maneno Weka Muziki,lakini Muziki Ni Biashara.

 
4.Usichukue show za mapromoter uchwara waka dissapoint Mashabiki wako kuwatia hasira na kukushusha hadhi.Bora ufanye shows chache lakn za ukweli.with Detailed Show case.

5.Drop next hit before this fades out.Live up to the game and keep the pace up.Keep the Unique style that identifies you as D.cmg.

6.Endelea na Humbleness yako..be humble Love all.respect all people.Ulianza kama mtu poa endelea na ustaarabu wako.

7.Umebeba bendera ya Hip hop family.Usiwaangushe.Keep the game in the picture.Dont compete but do ur thing and love all.Usikubali kulinganishwa au kufananishwa just be Darassa au ikiwezekana Shule..
#darasaaitweshule
Post a Comment
Powered by Blogger.