Baada Ya Ajali Ya Gari, Rapa Darassa Amepewa Ushauri Huu Na Madaktari


Wiki iliyopita Rapa Darassa na wenzake wawili walipata ajali ya Gari na leo amechukua uamuzi wa kwenda Hospitali ili kwenda kujua zaidi afya yake baada ya ajali hiyo.

Image result for darassa apata ajali

Ripoti iliyotolewa na Madaktari wa muhimbili imesema rapper huyo anaetamba na ngoma yake ya MUZIKI aliumia kidogo kichwani hivyo kwa sasa ni vyema akapumzika kwa muda wa wiki moja na kupunguza majukumu mpaka pale maumivu yatakapotulia.

Yes bado nipo muhimbili nashukuru mungu nimepokelewa vizuri hapa muhimbili kuna damage kidogo kichwani na nina maumivu kidogo shingoni na nimeambiwa nipunguze kazi nipumzike kwa wiki moja so namshukuru sana Dr Longopa“ Alisikika Darassa kwenye kipindi cha Double XL cha Clouds FM.

Post a Comment
Powered by Blogger.