Aunty Ezekiel - Huyo Anaejiita Baba Cookie Ni Chizi, Anapaswa Kupuuzwa

Kama ni mfuatiliaji wa mastori ya mastaa wa Bongo basi nutakua ulishakutana na hii ya Cookie (Mtoto wa Aunty Ezekiel) kutajwa kuwa sio mtoto halali wa Baba yake amabe sisi wote tunamfahamu kama Mose Iyobo wa WCB.  Kipindi cha nyuma aliwahi kuhusishwa mheshimiwa fulani wa Serikalini, Achana na hiyo siku za hgivi karibuni ameibuka mshikaji anaedai kuwa ni mhusika halisi kbisa kwenye uzazi wa Cookie (Yaani Baba Mzazi) Kama unavyoweza kumsikia hapa wakati akibwabwaja juu ya kipaza cha +SHILAWADU TV
Katika kutafuta uthibitisho wa madai hayo, Shilawadu iliamua kumtafuta @Aunty Ezekiel na alikuwa na haya ya kusema:
Post a Comment
Powered by Blogger.