Arsenal Uso kwa Uso na Bayern, Hatua ya 16 Bora Klabu Bingwa UlayaMuda mfupi uliopita Droo ya 16 Bora ya kombe la klabu bingwa Barani YUlaya ilikuwa inapangwa kwenye Draw hiyo kulikuwa na Timu 16 na Tayari Timu zote zimeshapangwa.

Arsenal kutoka Uingereza itaanzia ugenini kuchuana na Mabavarians Bayern Munich kutoka Ujerumani, Barcelona hao wataanzia Parc Des Princess maskani kwa PSG matajiri wa Ufaransa na Manchester City wataanzia nyumbani kwao Etihad wakiwakaribisha Monaco .

Ratiba nyingine ni kama ifuatavyo hapo chini

 whatsapp-image-2016-12-12-at-03-31-15
Post a Comment
Powered by Blogger.