Amber Lulu Na Country Boy Watakoma (Official Music) Prod. Dapro

Licha tu ya kutajwa kama Video Vixen na Model hotcake hapa nyumbani Tanzania mrembo Amber Lulu ametuonyesha upande wa pili wa maisha yake, kumbe mbali na kuuza sura kwenye videos na shows mbalimbali za wasanii wengine Amber pia ni muimbaji mkali tu.
 Cheki hii inaitwa watakoma amempa shavu Rapa Country Boy.

Post a Comment
Powered by Blogger.