Vector Na Vanessa Mdee Wamekutana Na Wanakuambia "I Believe You"

Kutoka Nigeria ni mshikaji anaitwaVector ameachia Albamu yake ya tatu "Lafilaji"  yenye ngoma zipatazo 21 huku zali likimuangukia mwanadada Vee Money kwenye ngoma namba 18.
Mdundo unaitwa "I Believe You"

Enjoy Nayo Hapa:

DOWNLOAD

Post a Comment
Powered by Blogger.