Tanzia | Mzee Joseph Mungai Amefariki Dunia Leo


TANZIA: Aliyewahi kuwa Waziri wa Elimu na Mbunge wa Jimbo la Mufindi mkoani Iringa, Joseph Mungai amefariki dunia leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu. Aidha mwanasiasa huyo mkongwe nchini alikihama chama chake cha CCM na kujiunga na chama cha siasa cha CHADEMA katika harakati za uchaguzi mkuu mwaka 2015.

Post a Comment
Powered by Blogger.