Tanzania yashuka kwenye viwango vya FIFA.Viwango vya ubora wa Soka duniani vilivyotolewa na FIFA, Tanzania imeshuka kwa nafasi 16, kutoka nafasi ya 144 na sasa inashika nafasi ya 160.

Katika bara la Afrika, Tanzania inakamata nafasi ya 48 huku Argentina ikiendelea kuongoza katika viwango hivyo kwa Dunia.
Post a Comment
Powered by Blogger.