Shinji Okazaki atajwa kujiunga na AC Milan..Taarifa zilizopo ni kwamba mabingwa wa zamani wa Seria A na Ulaya, AC Milan, wanaitaka huduma ya staa Shinji Okazaki.
Milan wanataka kuinasa saini ya mpachikaji mabao huyo raia wa Japan ambaye ana umri wa miaka 30.
Post a Comment
Powered by Blogger.