Picha za kilele cha tamasha la Tigo Fiesta 2016 kwenye viwanja vya Leaders Club Dar..


Hatimaye kilele cha tamasha la Tigo Fiesta 2016, kimefanyika katika viwanja vya Leaders Club, jijini Dar es Salaam ambapo wasanii wakali wa hapa nchini na wengine kutoka nje ya Tanzania, wamefanya shoo ya aina yake ili kuhitimisha msimu huu wa tukio hilo kubwa kabisa la burudani ya muziki katika ardhi ya Taifa hili lililoasisiwa na Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Wasanii kama Roma Mkatoriki, Stamina, Mr. Blue, Darasa, Mr. Blue, Hamada, Barnaba Classic, Maua Sama, Lord Eyes, Alikiba na wengine kibao wameperform kwenye jukwaa la fiesta.

Na hizi ni Picha baadhi kutoka Leaders Club.Post a Comment
Powered by Blogger.