Mwanasoka Philippe Coutinho kukaa nje ya dimba kwa wiki sita.
Mchezaji wa klabu ya Liverpool Philippe Coutinho taarifa zimetoka kuwa atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa wiki 6 kufuatia kuumia kifundo cha mguu kwenye mechi dhidi ya Sunderland.


Taarifa hizo zimethibitishwa baada ya Mbrazil huyo kufanyiwa uchunguzi siku ya jumatatu.

Hizi ndio mechi za ligi ambazo atazikosa Coutinho

Bournemouth (A)
West Ham (H)
Middlesbrough (A)
Everton (A)
Stoke (H)
Man City (H)
Sunderland (A)
Post a Comment
Powered by Blogger.