Matokeo ya mechi za UEFA zilizopigwa usiku wa kuamkia leo.Michuano ya klabu bingwa barani Ulaya imeendelea usiku wa Jumatano ya November 2 ikiwa bado katika hatua za makundi. Huku mchezo ambao ulikuwa unamagoli mengi ni kati ya Legia Warsaw dhidi ya Real Madrid ambao ulikuwa wa piga nikupige.

Matokeo ya mwisho Legia Warsaw 3-3 Real Madrid.

Matokeo ya michezo mingine.Post a Comment
Powered by Blogger.