Matokeo ya Mechi za UEFA zilizochezwa usiku Wa kuamkia Novemba 23.2016.

Mzunguuko wa tano wa ligi ya mabingwa barani Ulaya uliendelea tena usiku wa kuamkia hii leo kwa michezo ya kundi la tano hadi la nane kuchezwa katika viwanja tofauti.
Matokeo ya michezo iliyo unguruma barani humo.
UEFA CHAMPIONS LEAGUE – Kundi La Tano
CSKA Moscow 1-1 Bayer 04 Leverkusen
Monaco 2-1 Tottenham Hotspur
UEFA CHAMPIONS LEAGUE – Kundi La Sita
Borussia Dortmund 8-4 Legia Warsaw
Sporting Lisbon 1-2 Real Madrid
UEFA CHAMPIONS LEAGUE – Kundi La Saba
FC Copenhagen 0-0 FC Porto
Leicester City 2-1 Club Brugge
UEFA CHAMPIONS LEAGUE – Kundi La Nane
Dinamo Zagreb 0-1 Lyon
Sevilla 1-3 Juventus
Michuano hiyo inaendelea tena hii leo kwa michezo ya kundi la kwanza hado la nne ambapo:
UEFA CHAMPIONS LEAGUE – Kundi La Kwanza
Arsenal Vs Paris Saint Germain
Ludogorets Razgrad v FC Basel
UEFA CHAMPIONS LEAGUE – GROUP B
Besiktas v Benfica
Napoli v Dynamo Kiev
UEFA CHAMPIONS LEAGUE – Kundi La Tatu
Borussia Mönchengladbach v Manchester City
Celtic v Barcelona
UEFA CHAMPIONS LEAGUE – Kundi La Nne
FC Rostov v Bayern Munich
Atlético Madrid v PSV Eindhoven
Muhimu: timu ambazo zimeshafaulu kucheza hatua ya 16 bora kwa msimu huu ni Arsenal, Paris St-Germain, Atletico Madrid, Bayern Munich, Borussia Dortmund, Monaco, Bayer Leverkusen,
Real Madrid. Leicester City na Juventus.
Timu ambazo hazina nafasi ya kusonga mbele ni Ludogorets, Basel, PSV Eindhoven, FC Rostov, Club Brugge, Dinamo Zagreb, Legia Warsaw, Tottenham, CSKA Moscow na Sporting Lisbon.
Post a Comment
Powered by Blogger.