Majibu Ya Lady Jay Dee Kuhusu Alichokisema Ruge Wiki Iliyopita.


 Mwishoni mwa wiki iliyopita Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Ndugu Ruge Mutahaba aliongea  kwenye  XXl na kudai ikitokea nafsi ya kukutana na Jide wakaongea wanaweza kumaliza tofauti zao.

 Kwenye mahojiano na moja  ya kipindi cha kituo cha redio cha 97.7 Nyemo Fm Radio Dodoma kinachoendeshwa na Winston Makangale Lady Jay Dee amevunja ukimya na kuiongelea  ishuhiyo  inayoendelea kati yake na Uongozi wa Clouds Media Group.

 MSIKILIZE HAPA::  FIESTA 2016 BILNASS NA TID WALIVYOKIWASHA: 

Post a Comment
Powered by Blogger.