Kocha Pep Guardiola kuhusu majeraha aliyopata Vicent Kompany.Kocha wa klabu ya Man City, Pep Guardiola amethibitisha kuwa beki Vicent Kompany atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa wiki 4 mpaka 6 kufuatia kusumbuliwa na maumivu ya goti aliyoyapata kwenye mchezo dhidi ya Crystal Palace wiki ilipita.

Post a Comment
Powered by Blogger.