Kiungo Jack Wilshere aitwa tena timu ya taifa ya Uingereza
Kocha wa muda wa timu ya taifa ya England, Gareth Southgate amemuita kiungo Jack Wilshere kwenye kikosi cha timu ya taifa ya England ambacho baadae mwezi huu kitacheza michezo dhidi ya Scotland na Hispania.

Post a Comment
Powered by Blogger.