Kinda wa Manchester united anaewaniwa na Klabu ya Barcelona..Klabu ya soka ya Barcelona imetajwa kwenye mpango wa kumsajili chipukizi wa Manchester United, Angel Gomes.

Nyota huyo mwenye umri wa miaka 16, amekuwa kivutio kwenye ‘academy’ ya klabu hiyo ya jijini Manchester.
Post a Comment
Powered by Blogger.