Huenda Memphis Depay akatua Everton usajili wa mwezi januari???

Everton have been linked with a move for Manchester United forward Memphis Depay

Staa wa Manchester United, Memphis Depay, anatajwa kuwa kwenye rada za klabu ya Everton.
Kwa mujibu wa vyanzo vya habari, Everton wanataka kumnasa staa huyo ifikapo Januari na hiyo ni baada ya kushindwa kuwika akiwa na Manchester United.
Kitu kingine Everton kupitia ukurasa wake wa Twitter walipost baada ya Depay kufunga goli Everton's official Twitter account posted an update on Depay during the international break
Post a Comment
Powered by Blogger.