Franck Ribery amesaini mkataba mpya ndani ya Bayern Munich.
Mchezaji wa klabu ya FC Bayern, Franck Ribery amesaini mkataba mpya na klabu yake ya soka ya FC Bayern, ni ongezeko la mwaka mmoja.

“Hii klabu na huu mji umekuwa ni nyumbani kwangu nje na ndani ya dimba!” alisema haya wakati akihojiwa baada ya kusaini nao.
Kwa mkataba huu sasa atakuwa nao mpaka mwaka 2018, hii ni habari njema kwa mashabiki wa klabu FC Bayern.
Post a Comment
Powered by Blogger.