#FIESTA2016: Tekno Agoma Kurudi Nigeria Kisha Awataja Warembo Wa Bongo Anaowakubali.Usiku wa kuamkia leo Novemba 6 ndio ilikua kilele cha Tamasha la Fieta lililofanyika kwenye Uwanja wa Leaders Kinondoni Dar Es Salaam. Tamasha ambalo wanamuziki zaidi ya ishirini wa hapa nchini wameshambulia jukwaa pamoja na mwanamuziki Jose Chameleone wa Uganda pamoja na Yemi Alade na Tekno Wa Nigeria.. Katikati ya sho Tekno ameonyesha kufurahishwa na love aliyoipata Bongo na kujikuta akitamani asirudi nyumbani kwao Nigeria.. "I dont wanna go back to Nigeria, You guys are toooo much.." Amesema Tekno.
 Tekno pia alipigiwa shangwe zaidi stejini baada ya kuwataja warembo wetu Hamisa Mobetto, Gigy Money, Vanessa Mdee na Lulu.
Post a Comment
Powered by Blogger.