Dereva Muingereza Lewis Hamilton ashinda Brazil Grand Prix

article-3932196-3a5928a600000578-72_636x382

Dereva Muingereza Lewis Hamilton kwa mara ya kwanza amefanikiwa kushinda mbioza za Formula 1, Brazil Grand Prix, huku Nico Rosberg akimaliza wa pili na Max Verstappen wa Red Bull akishika namba 3.Nico Rosberg yupo ameendea kuwa kileleni na sasa amempita Lewi pointi 12.

Sasa vita ya ubingwa inahamia katika mbio za mwisho zitakazofanyika Abu Dhabi Novemba 27.
Post a Comment
Powered by Blogger.