Beki Wa PSG anaewaniwa na miamba Wa soka Barcelona.
Klabu ya soka ya Barcelona inataka kuweka mzigo mezani kuhakikisha wanainasa saini ya Serge Aurier wa PSG.

Mlinzi huyo wa pembeni anatakiwa Catalunya ifikapo Januari.
Post a Comment
Powered by Blogger.