U - Heard | Jike Shupa Afungukia Mahusiano Yake Na Juma Nature Pia Na Malezi Ya Mtoto Wao..


Kwenye U-Heard ya leo Oktoba 13 mhariri mkuu wa gazeti la makorokocho Soudy Brown amepiga stori na malkia wa video ya Jike Shupa (Maarufu Jike Shupa).  Video Queen huyo amefunguka mengi kuhusu mahusiano yake na mkongwe wa muziki wa Hip Hop Sir. Juma Nature..  Kumbe waliwahi kuwa wapenzi na walifanikiwa kupata mtoto wa kike.  Sasa Unajua ni nini kiliendelea?, Sisi sio watu wa mchezomchezo bhana.. Msikilize Jike Shupa  Hapa Chini akimpenyezea Soudy Brown Ubuyu woteeee.....
 
Post a Comment
Powered by Blogger.