Trevor Noah Kutokuwepo Mamas Nafasi Yake Kushikwa Na Mrembo Huyu

Mchekeshaji Trevor Noah wa Afrika Kusini ambae alitajwa mapema kuwa msherehaji kwenye utoaji wa Tuzo za MAMAs ametangaza kutokuwepo kwenye tukio hilo kutokana na ushauri aliopewa na daktari wake Trevor anatakiwa kupumzika kwa muda kama barua yake inavyoeleza hapa chini.
Kutokuwepo kwa Trevor Noah haimaanishi kusitishwa kwa zoezi hilo hapo kesho badala yake nafasi hiyo itashikwa na mrembo Bonang Matheba.

Post a Comment
Powered by Blogger.