Taarifa ya ajali iliyoua Mkurugenzi Msaidizi wa Elimu ya Afya..Ajali ya gari iliyotokea jana asubuhi imesababisha kifo cha Mkurugenzi Msaidizi wa Elimu ya Afya kwa Umma wa Wizara ya Afya, Maendekleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Bi. Hellen Semu.

Akithibitisha kuhusu ajali hiyo msemaji wa wizara hiyo, Nsachris Mwamwaja amesema ajali hiyo imetokea jana asubuhi eneo la Chalinze mkoani Pwani ambapo pia Mkurugenzi wa Huduma za Kinga wa wizara hiyo, Dk Neema Rusibamayila amejeruhiwa.Post a Comment
Powered by Blogger.