Sababu ya Vanessa Mdee kupiga chini show ya Chris Brown Mombasa Kenya..
Mwambaji Vanessa Mdee Ametangaza kuwa hatakuwepo kwenye show kubwa ya Mombasa ambayo awali ilitangazwa atakuwepo sambamba na Chriss Brown, Ali Kiba na Wengine..Sababu alizozitoa ni kuwa waandaaji wa Show hawakutimiza makubaliano yao ya mwanzo.


Ameandika haya kupitia ukurasa wake wa Instagram:


Post a Comment
Powered by Blogger.