Rayvanny Hakukubaliana Kirahisi Na Diamond Platnumz Kwenye Salome..

Salome ya Diamond Platnumz na mwanamuziki Rayvanny ambao wote wako chini ya Label Wasafi Record imeendelea kushika nafasi za juu kati ya zile video za kiafrika zinazoangaliwa kwa sana kwenye mtandao wa youtbe.
Ukubwa wa video hiyo haumaniishi eti ilikua rahisi kutengeneza video hiyo, @SeetheafricanTV imefanikiwa kunasa mabishano kati ya Rayvany na Diamond Platnumz kuhusu mavazi ambayo yangetumika  kwenye kichupa hicho..

BONYEZA PLAY KWENYE HII VIDEO KUSIKILIZA NA KUONA MABISHANO HAYO:Post a Comment
Powered by Blogger.