Majibu ya Ivo Mapunda baada ya kuulizwa kustaafu soka..Kipa mkongwe nchini Ivo Mapunda, ambaye anasubiri kwenda kucheza soka nchini Kenya, amesema kwa sasa hana kabisa mawazo ya kustaafu.

Ivo ametanabaisha kuwa bado ana nguvu hivyo kustaafu soka kwa sasa atakuwa hajakitendea haki kipaji chake.

“Kwa wale wanaotaka kujua nitastaafu lini, niwaambie tu wasubiri siku wakimuona Mugabe anaachia madaraka ndiyo na mimi nitaacha kucheza soka."
Post a Comment
Powered by Blogger.