Javier Hernandez sasa anawindwa na timu hii kutoka Hispania..


Wakali wa La Liga, Sevilla, wameanza harakati za kuhakikisha wanamnasa staa wa timu ya Taifa ya Mexico, Javier Hernandez ‘Chicharito’.

Valencia wamepanga kutumia pauni milioni 40 kumnasa straika huyo anayekipiga Bundersliga
Post a Comment
Powered by Blogger.