Full list ya Washindi wa tuzo za AFRIMMA Mwaka 2016,

afrimma2016
Tuzo za AFRIMMA ambazo hutolewa kila mwaka kwa Waafrika mbalimbali waliofanya vizuri kwenye sekta mbalimbali hasa za burudani, zimetolewaDallas Texas Marekani leo ambapo kwenye list yote Watanzania walioshinda ni watatu.
Watanzania walioshinda ni Dj D Ommy wa CloudsFM ambapo ameshinda tuzo ya Dj bora Afrika, mwimbaji Harmonize akishinda tuzo yamsanii bora chipukizi Afrika 2016 hukuDiamond Platnumz akishinda ya msanii bora wa kiume Afrika Mashariki.
FULL LIST WINNERS AFRIMMA 2016:
Best Male West Africa – Olamide (Nigeria)
Best Female West Africa – Efya
Best Male North Africa – Amr Diab
Best Female North Africa – Ibtissam
Best African DJ USA – Dj Dee Money.
Best Male Central Africa – C4 Pedro
AFRIMMA Video of the year – Brother brother Bisa Kdei
Best Female Central Africa – Daphne
Music Producer of the year – Masterkraft
Best male South Africa – AKA
Best African Dancer – Brenda Derry ( Cameroon)
Best Female Southern Africa – Chikune
Best Rap Act – Phyno (Nigeria)
Best African Group – Sauti Sol (Kenya)
Best collaboration – Reggae blues ( Harrysong, Kcee) Nigeria
Crossing boundaries with Music – Wizkid (Nigeria)
Song of the year – Tecno Duro (Nigeria)
Best Gospel Act – Willy Paul (Kenya)
Best Male East Africa – Diamond Platnumz ( Tanzania)
Artist of the year – Flavour ( Nigeria)
Best Newcomer – Harmonize (Tanzania)
Best Dancehall Act – Shatta Wale
Best Video Director – Patrick Elis
Carribean Artist of the year – Machel Montano.

Post a Comment
Powered by Blogger.