DRC Congo Imeamua Hivi Kuhusu Uchaguzi Mkuu Uliokua Ufanyike Novemba

Joseph Kabila - Rais Wa DRC Congo
.
Shirika la Habari la BBC limeripoti kupokea taarifa kutoka Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi nchini DRC Congo imetangaza tarehe nyingine ya uchaguzi mkuu.
 Viongozi kadha wa upinzani walioshiriki katika mazungumzo ya amani ya kitaifa wameafikiana na uamuzi huo, lakini kuna wale wanaoupinga wakisema ni njama ya Rais Joseph kabila kubaki madarakani.
 Uchaguzi mkuu nchini humo ulipangwa kufanyika Novemba mwaka huu umesogezwa mbele mpaka mwaka 2018 kwa ajili ya kulinda amani ya Taifa hilo.
Post a Comment
Powered by Blogger.