Diamond Platnumz Na Wanamuziki Zaidi Ya 30 Kukiwasha Lagos Nigeria Novemba Hii

"One Day AFRIMA Music village" ni tamasha la kiburudani la nchini Nigeria ambalo kwa hapa bongo tunaweza kulifananisha na Fiesta  huanadaliwa na uongozi wa AFRIMA.
 Tamasha hilo linahusisha wanamuziki kibao kutoka Afrika na mwaka huu Mtanzania Diamond Platnumz atapanda stage moja na mnigeria Kuti Fame huku VVIP kutoka Ghana akiungana na wanamuziki mbalimbali wa Afrika wakiwemo waliokua wakiwania Tuzo Za Afrima..

Ratiba Kamili Ya Tamasha Hilo:

Siku: Ijumaa November 4, 2016.
Ukumbi: Waterfront, Bar Beach, Victoria Island, Lagos, Nigeria.
Muda: 500pm.
Kiingilio:T-Shirt Za Afrima T-shirt zinapatikana www.ariiyatickets.com.
Post a Comment
Powered by Blogger.