Barakah da prince Atokwa Povu Kuwa Stan Bakora Anatumia Caro LightMsanii Barakah da prince Ametokwa na povu zito katika ukurasa wake wa instagram kwa kuandika kuwa eti, stan bakora anatumia caro light.

 hiyo ni baada ya msanii huyo mchekeshaji stan bakora kutoa cover ya wimbo wa nisamehe alioutoa Barakah hivi karibuni akiwa amemshirikisha Alikiba, stan alitoa video ya wimbo huo hukua akiwa amejipaka masizi usoni, ambapo kitendo hiko kilimkera Baraka na kutokwa na povu katika kipindi cha U-heard cha clouds fm

Lakini povu hilo halikuishia hapo baraka alifanya upekunyeku na kupata picha ya stan bakora akiwa mtoto na ya sasa hivi akiwa tayari mtu mzima na kuandika haya

"caro light caro light mungu anakuona kuwafanya vijana wetu kama mabinti....naipenda sana #Africanyeusi inapendeza sana ila mr. caro light anataka kuibomoa"

 
Post a Comment
Powered by Blogger.