Antoine Griezmann anawindwa na Klabu hii nyingine tofauti na Man United..


Wababe wa soka la Ufaransa, Paris Saint-Germain, wametajwa kuwa wanamtaka staa wa Atletico Madrid, Antoine Griezmann.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, PSG wako tayari kutoa pauni milioni 89.
Post a Comment
Powered by Blogger.