Wema Sepetu Na Munalove Kukiwasha Tanga Mwezi Huu

Baada ya kupokelewa vizuri na wapenzi wa burudani jijini Dar, Mwanadada Wema Sepetu kwa ushirikiano na rafiki yake kipenzi Muna Lovee wameamua kuupeleka usiku wa vigoma mkoani Tanga ambapo inatarajiwa kufanyika Tarehe 10/09 mwaka huu. Hivyo Wakazi wa Tanga wajiandae kwa burudani hii ya kukata na shoka.


A photo posted by MUNA ALPHONCE 💏👉👉MUNAMALOVEEE (@munalove100) on
Post a Comment
Powered by Blogger.