Video | Walichofanyiwa Wanamuziki Wa WCB Nchini Kenya

Harmonize, Rayvanny na Rich Mavoko.
Wasanii Rich Mavoko, Rayvanny na Harmonize wanaomilikiwa na Label WCB Wasafi ya mtu mzima Diamond Platnumz wamekua na tamasha linalojulikana kam #WCBMileleConcert lilomalizika usiku wa juzi jumamosi kipande cha Mombasa Kenya. Sasa unaambiwa wakati wakali hawa wanapokelewaa uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta washikaji walipewa Escort ya Polisi wa Kenya.
  Heshima kama hii hawajahi kupewa wanamuziki wetu wakiwa nyumbani, Hii maana yake nini?, Ni kama serikali haiwatambui wanamuziki wetu kama watu maalum kwa Taifa Letu? ANGALIA RAYVANNY ALIVYOPNGA KUMSHANGAZA MAMA YAKE:
Post a Comment
Powered by Blogger.