Selena Gomez Anaenda Kuvunja Rekodi Nyingine Masaa Machache Yajayo.


Imekua ni kawaida kabisa kwa mastaa kushindanishwa idadi ya mashabiki kupitia namba za mitandaoni huku huku timu nazo zikichangia kuwaua wapinzani.
 Kwa mantiki hiyo basi hakuna atakaebisha kama +Selena Gomez ndie Staa mwenye mashabiki wengi zaidi duniani kwa takwimu za instagram ambao unaonyesha followers wa Selena kufikia zaidi ya milioni 99+.
  Baada ya kutajwa kuvunja rekodi ya instagram kwa kuwa staa wa kwanza kufikisha likes nyingi zaidi ya milioni 2 kwenye picha moja ndani ya muda mfupi mkali huyo wa ngoma "Kill em with Kindness" anaenda kuvunja rekodi nyingine ya instagram kwa kufikisha followers milioni 100 ndani ya masaa kadhaa yajao.Post a Comment
Powered by Blogger.