Raia Wa Uganda Auawa Kwa Risasi Afrika Kusini.

Mtu asiejulikana amempiga risasi raia mmoja wa Uganda aliekua akiishi nchini Afrika Kusini, HowWe Uganda imeripoti kupokea picha  za jamaa huyo aliyejulikana kwa jina la  Ashiraf Kassaga AKA Shareef KM (Jina la Facebook)


Limetolewa tamko kwa yeyote anaemjua ndugu wa au taarifa za mtu huyo afike mara moja ubalozi wa Uganda nchini humo kwa ajili ya taratibu za kuchukua mwili wa ndugu yao kabla hajazikwa na serikali ya nchi hiyo.

Post a Comment
Powered by Blogger.