Picha | Vanessa Mdee Na Jux Kwenye Stage Ya Fiesta Morogoro

Tamasha la Tigo Fiesta 2016 bado linaendelea mikoani ambapo usiku wa jana septemba 18 ilikua ni zamu ya wapenda Burudani wa Morogoro.
 Imepigwa show kali kutoka kwa wasanii wengi wa muziki wa bongoflava, moja ya shows zilizoonekana kuwavutia wengi ni hii ya Jux na Vanessa Mdee.
 Moja kati ya couple zinazotrend mjini huwezi ukaacha kuwataja hawa washikaji zetu , Hapa stejini wakikiwasha kinomanoma.Post a Comment
Powered by Blogger.