Picha | Diamond Platnumz Marekani Kwenye Utengenezaji Wa Kichupa Na Ne-yo

Kama utakumbuka tarehe 21 Mei mwaka huu kwenye uwanja wa CCM Kirumba Mwanza ilipigwa show ya Jembeka Festival ambayo iliwahusisha wasanii kibao wa bongo akiwemo Diamond Platnumz pamoja na mwanamuziki Ne-kutoka marekani.
 Wapenzi wa burudani na wakazi wa Mwanza waliohudhuria Tamasha hilo walipata fursa ya kuiona Live Perfomance ya ngoma hiyo inayojulikana kama "Marry You"
Kama Unavyoweza Kuona Hapa Kwenye Video Hii.
 Sasa Habari njema ni kwamba Diamond Platnumz tayari yuko Los Angeles Marekani kwenye utengenezwaji wa kichupa hicho.
Moja kati ya Scene zinzomuhusu Mnyamwezi Ne-Yo
 

Moja Ya Warembo watakaoonekana kwenye kichupa hicho.

Post a Comment
Powered by Blogger.