Ngoma ya Aje Imepata shavu MTNMsanii Alikiba ameonekana akizidi kupata shavu katika tasnia hii ya muziki baada ya kupata shavu la kampuni ya sony. 

lakini msanii huyo nyota yake haikuishia hapo imeendelea kuonekana baada ya Wimbo wa Aje wa kupata shavu kwenye mtandao wa simu wa MTN wa nchini Nigeria.
Aje umekuwa miongoni kati ya nyimbo zinazopatikana kwenye mtandao huo ambao wananchi wanaweza kuuchagua wimbo huo kuwa kama muito kwenye simu zao.

Hatua hiyo itamwezesha staa huyo kuendelea kuingiza mkwanja kulingana na mikataba yake aliyosaini ikiwemo ule wa Sony Music aliosaini mwezi Mei mwaka huu.
Post a Comment
Powered by Blogger.