Navykenzo Watangaza mchongo kwa sharti Hili..


Kundi la muziki wa kizazi kipya la NAVY KENZO limetangaza zawadi kwa mashabiki na wapenzi wa bongo fleva kwa ujumla wale watakao download App ya TIMA na kuifuatilia kwa kila taarifa itakayo toka.
Kundi hilo ambalo linaundwa na couples wawili AIKA pamoja na NAHREEL wametoa mchongo huo mapema siku ya leo kabla hawajaanza safari yao kuelekea Shinyanga kwenye show ya Fiesta Shinyanga ambayo itafanyika kesho
“Tunachohitaji kukifanya ni kuwa karibu na mashabiki wetu hivyo tumeona mbali na kuwapatia taarifa kiurahisi tunaweza kushare vitu vingine kama zawadi na some stories but kwa kupitia TIMA app only,so tutatoa zawadi kwa shabiki ambaye atafuatilia kila info itakayo rushwa TIMA
Hivyo You never know MR. TiMA atatumia vigezo gani so unashauriwa kudownload na kua updated na TIMA ili ushide”alisema AIKA


Ilikuendelea kupata taarifa download TIMA APP kupitia link hapo chini


Post a Comment
Powered by Blogger.