Najiona Mimi Nikimuangalia Barakah - AliKiba.

Jana Septemba 13 kwenye XXL ya Clouds FM msanii BarakaThePrince alitambulisha ngoma yake mpya "Nisamehe aliyomshirikisha Ali Kiba chini ya Producer EmmatheBoy.
  Utambulisho wa ngoma hiyo uliambatana na interview ya moja kwa moja na Alikiba ambae yuko Mombasa Kenya na alielezea jinsi anavyomchukulia Baraka na jinsi ilivyokua rahisi kwa waili hao kufanya kazi pamoja.Mbali na Baraka, Alikiba pia ameongelea ishu ya kolabo zake na wasanii wengine wa Bongo kitu ambacho kimekua adimu sana. Huyu Hapa Alikiba Kwenye Video Hii.  
KAMA BADO HAUJAIPATA NISAMEHE YA BARAKAH NA ALIKIBA HII HAPA.
Post a Comment
Powered by Blogger.