NAHREELKURUDISHA THAMANI YA PRODUCERS WA BONGO


Hatimaye mtaarishaji bora music 2015-2016 Tanzania na Bosi wa Label ya The industry tz Emanuely Mkono Maarufu kama Nahreel aamua kurudisha heshima ya maproducer tz,Nahtreel ambaye anaunda kundi la Navy kenzo pamoja na Aika amesema hayo alipokuwa maeneo ya studio ya The industry akimalizia stage za mwisho za ngoma yao mpya ambayo itatoka hivi karibuni.

Bado anawakumbusha mashabiki kuidownload app ya The industry miusic app ambayo inaitwa TIMA
NAJIONA MIMI NIKIMUANGALIA BARAKATHEPRINCE - ALIKIBA 
Post a Comment
Powered by Blogger.