Music | Reekado Banks - Move Ft. Vanessa Mdee


Ayoleyi Hanniel Solomon ambae dunia nzima inamtambua kama Reekado Banks msanii kutoka Label ya Marvins ya nchini Nigeria ameungana na mrembo Vee Money kutoka Tanzania kwenye beat ya Don Jazzy na kukamilishaa ngoma inaitwa Move.

Download Hapa Chini.


DOWNLOAD
Move ni ngoma namba 11 kwenye albamu "The Spotlight" ya Reekado Banks ambayo rasmi imeachiwa jana Agosti 31 ikiwa na jumla ya ngoma 21.
 Mpaka kufikia mchana wa Septemba1 Albamu hiyo the spotlight imekua ni albamu ambayo inaongoza kwa kununuliwa kwenye iTunes nchini Nigeria.
Post a Comment
Powered by Blogger.