Music | Goodluck Gozbert - Nimesamehe (Official Music Video)

Inafika hatua mateso yanazidi mpaka unahisi kama Mungu amekuacha vile, Kila mtu unamuona kama sio mwema kwako,
 Unakua mtu wa kusononeka na kila unachofanyiwa,
 unajikuta umetunza visasi moyoni huku ukikata kabisa tamaa ya kuishi na binadamu.
  Hitmaker wa hitsong "Ipo Siku" Goodluck Gozbert ana ngoma mpya inaitwa nimesamehe ni zaidi ya wiki tatu sasa tangu iachiwe rasmi, lakini kwa sababu muziki hauharibiki nimekuwekea hapa leo ili kama haujaipata uisikilize.
DOWNLOAD HAPA
Baada ya kuisiliza "Nimesamehe" lazima ikubadilishe kifkra, lazima uamini kama Mungu yupo na wewe kwa kila hatua unayopiga kwenye maisha yako. Unaweza ukajikuta unawasamehe wote waliokukosea kutokana na muujiza mmoja tu ambao Mungu anakua amekutendea

ANGALIA VIDEO HAPA CHINI
Post a Comment
Powered by Blogger.