Music | Bruce Melodie - Turaberanye (Official Music Video) Watch & Download

Kuimba muziki mzuri ni sawa na kuweka AKIBA, milele haitoharibika,
hiki ndicho alichokifanya Mshikaji anaitwa "Nitwa Bruce Itahiwacu" maarufu sana kipande chwa Rwanda kwa jina la "Bruce Melodie" kwenye hii ngoma yake "Turaberanye" ikiwa na maana "Twende Sawa" kwa kiswahili.

DOWNLOAD HAPA

 Kuna kila sababu ya kuupenda wimbo huu hata kama hauwezi kuelewa jamaa anaimba vitu gani maana ametumia sana lugha ya asili japo kuna kiingereza kiasi na maneno mchache ya kiswahili.
 

Video ya wimbo huu iliachiwa rasmi Agosti 22 mwaka huu ikiwa na kila sababu ya kuitwa video kali kama unavoweza kuiona hapo juu akiwa anamuimbia mtotto mzuri,
 Hapa Chini unaweza kudownload Audio yake uendelee kuisikiliza halafu tuachie maoni yako.
Post a Comment
Powered by Blogger.